Waziri Mkuu Majaliwa ampa siku saba Waziri Ndalichako

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa muda wa wiki moja kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia,…

Waziri Kamwelwe amtumbua Meneja wa Tanroads

  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, ametengua nafasi ya Meneje wa Wakala…

Waziri wa Elimu Kenya atangaza shule kufunguliwa mwakani

Waziri wa Elimu nchini Kenya, Profesa George Magoha, ametangza shule za sekondari na msingi kufunguliwa mwakani.…

Waziri Simbachawene abaini madudu, magari ya jeshi yamesajiliwa namba binafsi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya…

Waziri Ummy arejesha huduma zote katika hospitali ya Amana kisa kupungua kwa Corona

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amesema kutokana na kupungua¬†…

Idadi Ya Wagonjwa Wa Corona Yazidi Kupungua Sasa Wabaki 4

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa Corona nchini waliobaki kwenye vituo vya…

Waziri Aliyetangaza Kufunga Mpaka Wa Tanzania Akutwa Na Corona

Waziri wa afya nchini Zambia, Chitalu Chilufya ametangazwa kuambukizwa virusi vya corona ikiwa ni siku chache…

Waziri Kigwangalla atoa povu waliouwa mamba kwa kisingizio cha mtoto mchanga

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Khamis Kigwangalla ametoa povu dhidi ya waliohusika kumuua mamba huku…

Ripoti ya uchunguzi wa maabara yaanika mazito yaliyobainika ikiwemo mashine kuwa na hitilafu katika kupima Corona

Serikali imetoa ripoti ya uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii iliyoko ofisi za…

Waziri Ndalichako atangaza tarehe ya kuanza mtihani kwa kidato cha sita

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, ametangaza rasmi tarehe ya kuanza kwa mitihani…