Chadema waanika polisi walichomhoji Mbowe jana

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimewekwa wazi alichohojiwa Mwenyekiti wake Freeman Mbowe ambaye aliitwa kituo…

Tanzania yapeleka kikosi maalumu cha usalama mpakani mwa Tanzania na Msumbiji

Kufuatia tukio la watu wenye silaha nchini Msumbiji kuvamia kambi za jeshi na kuchoma vituo mbalimbali…

Chadema wacharuka Mbunge wao kushikiliwa na polisi muda mrefu

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelaani kitendo cha Mbunge wake kushikiliwa na jeshi la polilisi…

Yanga bana imedroo tena, Polisi yaibana mbavu, Wananchi tambo kwishinei

Mashabiki wa Mabingwa wa kihistoria wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Yanga wameendelea kutotamba mtaani…

RPC Arusha ampa onyo Mbunge wa Chadema, Godbless Lema

Baada ya Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kuwapongeza waliosambaza picha za kuonesha ubovu wa barabara…

504 Wakamatwa na Jeshi la polisi nchini Tanzania

Jeshi la polisi nchini linawashikilia watuhumiwa 504 wa makosa mbalimbali yakiwemo ya kuua kwa kutumia mapanga,…

Jeshi la polisi linamshikilia aliyemchinja mkewe mjamzito

Jeshi la polisi Mkoani Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa Mrere Mashati wilayani Rombo, Antony Asenga (33) kwa…

Viongozi wa Chadema wakamatwa na polisi

Katibu Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Hemed Ali pamoja na ujumbe wa…

Polisi waimarisha ulinzi Zanzibar, watoa tahadhari

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema limethibiti ulinzi na usalama katika maeneo ya visiwa vya Zanzibar…

Matola aibukia Polisi Tanzania

Aliyekuwa Kocha wa Lipuli ya Iringa SELEMANI Matola amepewa kandarasi ya kuinoa timu ya Polisi Tanzania…