Baada Ya Kutishiwa Kwenda Mahakamani Mwijaku Aomba Msamaha Kwa Tanasha

Msaani wa vichekesho Mwijaku Burton amesema alieleweka  vibaya na mwanamuziki Tanasha juu ya kauli yake ya…

Askari aliyeokoa uhai wa mtoto wa mwaka mmoja aliyetupwa chooni apandishwa cheo

Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga amempandisha cheo Danis Minja wa jeshi…

Ungezaa Mzungu Wasingekufukuza- Tanasha Alaumiwa kujifungua Mtoto Anayefanana na Mondi

Tanasha Donna alitengana na Diamond miezi miwili iliyopita baada ya uhusiano wao kugonga mwamba Wawili hao…

Mtoto wa Wema Sepetu gumzo mtandaoni, wafuasi wake wafikia 3,000

Kama unasimuliwa na mtu unaweza kusemani uzushi lakini ukweli ni kwamba Msanii wa Bongo Fleva Wema…

Mwanamke Asimulia Jinsi Mumewe Alimvyomtaliki Akamuoa Mwanawe wa Kike

Grace aliolewa miaka 18 iliyopita Mambo ya ndoa yalianza kuvurugika huku mumewe akiamua kuwa na uhusiano…

Kisa Simu Mtoto Wa Miaka 11 Amuua Kaka Yake

Mahakama moja nchini Kenya katika kaunti ya Nakuru imeamuru mtoto wa miaka 11 anayeshikiriwa kwa tuhuma…

Mama amkata Mwanae Panga Kisa Mayai

Mtoto mwenye umri wa miaka 11 mkazi wa kaunti ya Kakamega nchini Kenya amelazimika kulazwa hospitali…

Mtoto amuua baba yake na kitu chenye ncha kali na kukimbia

Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamsaka Jailos Haule, kwa tuhuma za mauaji baada ya kumpiga…

Binti wa Miaka 18 Mbaroni Kwa Kuuwa Mtoto wa Wiki Tatu

Polisi katika Kauinti ya Nandi nchini Kenya wanashikiria msichana mwenye umri wa miaka 18 kwa kosa…

OMMY DIMPOZ AZUA GUMZO MTANDAONI NA MTOTO,MWENYEWE AULIZA, MASHABIKI WAMJIBU!

Je ni mtoto wake? Na lini kazaliwa? Ni baadhi ya maswali wanayojiuliza mafans wa msanii Ommy…