Wananchi watoa ya moyoni Makonda kutaka kuangamizwa

Wadau mbali mbali wametoa yao ya Moyoni kufuatia aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam…

Makonda: Asilimia 70 ya wakazi wa Dar es Salaam ni wambeya

Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema¬† asilimia 70 ya wakazi wa…

Makonda: Mimi ni mmoja wa vijana tulionufaika na Rais Mstaafu Mkapa

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema yeye ni miongoni mwa vijana…

Makonda: Nimepata pole nyingi kutokana na matokeo ya jana

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema amepokea pole nyingi katika matokeo…

Makonda Apingwa Chini Kura Za Maoni Kigamboni

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameshika nafasi ya pili kwenye mchakato…

Makonda achukua fomu kugombea Ubunge

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amechukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea jimbo…

Makonda Afunguka Sakata La Shilole Na Uchebe “Alikuwa Kwangu”

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameweka wazi kuwa mume wa mwanamuziki Zuena…

Wezi Dar Kupigwa Kipigo Cha Kimataifa

Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewataka wananchi kuwachunga watoto wao kwani kuna wimbi la…

Makonda : Bodaboda Rukrsa Mjini Hakuna Kukamatwa

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka waendesha pikipiki (boda boda) kuendelea kusafirisha…

Makonda asema ruksa wanafunzi kusimama kwa daladala na sio watu wazima

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameruhusu daladala kusimamisha wanafunzi wanne na sio…