Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asema kuna Waziri alipelekwa karantini kwa nguvu

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema kuna Waiziri mmoja ilitumika nguvu kumuondoa hospitali kumpeka karantini…

Majaliwa asema Serikali inandaa karantini za bure, atoa maelekezo kibao

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo katika mpango wa kuandaa karantini za bure kwa ajili…

Corona yatua Dar na Zanzibar, Wagonjwa wafikia watatu, Serikali yafunga vyuo vyote

Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia watatu Serikali imetangaza. Waziri Mkuu Kassim…

Majaliwa ajikingia kifua, Wabunge na Madiwani

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi na wanachama wa CCM washirikiane na wabunge na madiwani waliopo…

Wakati Serikali ikiendelea kuhamia Dodoma maelekezo mapya yametolewa

Ishu ya Serikali kuhamia Dodoma ni kama imenoga sasa, maelekezo yanazidi kutolewa ili mpango mzima ukamolike.…

Majaliwa bado anakabana na Wazanzibar

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa bado hajamalizana na Wazanzibar bana amesema wataendelea kuwa wakali wanapoona kuwa mambo…

Waziri Mkuu awashangaa wanaombeza na kuhoji mamlaka yake Visiwani Zanzibar

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amesema licha kubezwa na baadhi ya watu, ni haki yake kutoa maagizo…

Serikali: Ambao hawajalipwa fedha za korosho wawe na subira

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa korosho ambao bado hawajalipwa fedha zao kuwa…

MKURUGENZI ALIYEJILIPA POSHO BILA YA SAFARI KUCHUNGUNZWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Singida, Adili Elinipenda amchunguze Mkurugenzi wa…

Waziri Mkuu azindua mifumo mitatu sekta ya kilimo, atoa maagizo wizara tano

Serikali ya Tanzania imezindua mifumo mitatu yatakayotumika kuendeleza, kuboresha na kuongeza tija katika sekta ya kilimo.…