Fatma Karume amvaa Waziri wa afya ahoji Corona anaonekana kwa jicho ama vipimo?

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume, amemcharua Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,…

Fatma Karume amuambia Spika Ndugai alikuwa bize kuwakomoa Chadema

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amemuuliza Spika wa bunge, Job Ndugai kuwa kazi ya mbunge ni…

Fatma Karume ahoji Idris kushikiliwa siku saba kwa kosa lenye dhamana

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume, amehoji kitendo cha jeshi la polisi kumshikilia msanii wa vichekesho, Idris…

Fatma Karume aliamsha dude asema ukivaa suti kama haijakaa vizuri utachekwa tu

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume, amesema suti ya Maalim Seif Shariff alichekwa mpaka akaambiwa ni bahili…

Fatma Karume: Polisi wanataka kutuambia kicheko cha Idris kimemletea shida Rais?

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amesema haelewi ina maana jeshi la polisi wanataka kusema kicheko cha…

Fatma Karume ahoji kupungua kwa wagonjwa wa Corona vituo vya afya, je hakuna maambukizi?

Wakili wa kujitegemea Fatma Karume amehoji taarifa ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya…

Fatma Karume amehoji anayehusika kubambika kesi ni mtu wa aina gani na je usiku analala kweli?

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume, amehoji ni kwa nini mtu anamsingizi mwenzake kosa la jinai lisilokuwa…

Fatma Karume asema hakuna sheria inayomruhusu Makonda kuwakamata wananchi na kuwafanyisha kazi

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume, amesema  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda sio…

Fatma Karume: Rais kamlipia faini Msigwa kama Rais au kwa upendeleo wa undugu?

Aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria (TLS), Fatma Karume, amehoji fedha alizozitoa Rais John Magufuli kumlipia…

Fatma Karume: Mangula alianguka baada ya kikao cha CC kilichowajadili wakina Membe, Mambosasa anasema ana sumu

Aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria (TLS), Fatma Karume amesema Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi…