Dondoo za leo: Kinana asimulia yaliyomkera na kuamua kumtolea maneno mbaya Rais, Fatma Karume amshangaa Kinana kuomba radhi na Mchungaji Msigwa atangaza nia ya kugombea Urais

Habari ya asubuhi mdau wetu wa Opera News, matumaini yetu umeamka salama. Karibu kwenye dawati letu…

Dondoo za leo: Tanzania yasitisha shughuli mpaka wa Namanga, Serikali imewasimamisha kazi mabosi wanne kwa ubadhirifu na Takukuru inawashikilia vigogo wanne wa NEMC kwa rushwa

Habari ya asubuhi mdau wetu wa Opera News, matumaini yetu umeamka salama. Karibu kwenye dawati letu…

Dondoo za leo: Ubalozi waendelea kueleza hatari ya maambukizi ya Corona nchini na kuwataka kuchukua hatua, Ofisa TRA akamatwa na Takukuru na Mtoto wa miaka miwili auliwa na fisi

  Habari ya asubuhi mdau wetu wa Opera News, matumaini yetu umeamka salama. Karibu kwenye dawati…

Dondoo za leo: Mwizi aliyeiba kwa mwandishi wa ITV anasa ndani ya gari, Serikali imeeleza sababu ya kuziunganisha benki ya Posta na TIB na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania imelaani mauaji ya Floyd

  Habari ya asubuhi mdau wetu wa Opera News, matumaini yetu umeamka salama. Karibu kwenye dawati…

Dondoo za leo: TCRA yazitaka kampuni kushusha bei za Intanet, Dereva wa watalii afariki mbugani, Visa vya Corona vyaongezeka kwa kasi

Habari ya asubuhi mdau wa Opera News, tunatumai u bukheri wa afya. Karibu katika dawati la…

Dondoo za leo: Polisi wakamata pikipiki 825 za wizi, Gharama za Intaneti kupungua na Mafataki kukamatwa

Habari yako mdau wa Opera News, tunatumai uko salama. Karibu kwenye dawati la dondoo tupate kukujuza…

Dondoo za Leo: Auawa baada ya kuwatenganisha wapenzi walikuwa wakipigana,Wapenzi wajinyonga kisa kuchepuka na Mbunge ataka wananchi waache kwenda kanisani “Ni mtego mtakufa”

Habari ya asubuhi mdau wa Opera News, tunatumai u bukheri wa afya. Karibu katika dawati la…

Dondoo za leo: Fatma Karume amemuambia Spika Ndugai alikuwa bize kuwakomoa Chadema, Heche asema akili ya Polepole inawasiliana na Corona na Trump asaini agizo la rais dhidi ya mitandao ya kijamii baada ya kuzozana na Twitter

Habari ya asubuhi mdau wetu wa Opera News, matumaini yetu umeamka salama. Karibu kwenye dawati letu…

Dondoo za leo: MAT kufanya uchambuzi maajabu ya nyungu kama imehusika kupunguza Corona, Fatma Karume ahoji iweje Idris ashikiliwe siku saba kwa kosa lenye dhamana na polepole asema wakimbaini mwanachama katoa rushwa Ofisa wa Takukuru hana kazi

Habari ya asubuhi mdau wetu wa Opera News, matumaini yetu umeamka salama. Karibu kwenye dawati letu…

Dondoo za leo: Serikali imepokea Euro milioni 1.5 kwa ajili ya Corona, akutwa na dawa za kulevye kwenye soli za viatu na Mdee atakiwa kuacha kumshambulia Mbatia

Habari ya asubuhi mdau wetu wa Opera News, matumaini yetu umeamka salama. Karibu kwenye dawati letu…