Serikali ya Tanzania yawazuia Wakenya na magari yao kuingia nchini sababu ya Corona

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigela ametangaza kuyazuia magari ya Kenya kuingia Tanzania kupitia mpaka…

Waziri Kigwangala asema kuishi na corona inawezekana, Ukimwi imewezekana licha ya kuwa pabaya

Mapema leo Rais John magufuli alitangaza kuondoa vikwanzo kwa wageni waokuja kwenye shughuli mbalimbali hapa nchini…

Fatma Karume ahoji dawa ya Madagascar, asema Tanzania corona imedhibitiwa, nchi nyingine ziombewe

Aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria nchini (TLS) Fatma Karume ameichambua hotuba ya Rais John Magufuli…

Mbowe aweka wazi alichoteta na Rais Magufuli kuhusu Corona nchini, Hotuba yake kwa urefu

Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzania nchini Tanzania Chadema Freeman Mbowe amesema kuwa amezungumza kwa simu…

WHO watoa kauli nyingine inayofanana na ya Rais Magufuli kuhusu mapambano ya Corona

Kwa mara nyingine tena Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa kauli sawa na iliyowahi kutolewa na…

Zitto atoa neno hotuba ya Rais Magufuli kuhusu Corona asema akili za kuambiwa changanya na zako

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amewataka wananchi kuendelea kujinda huku akili za kuambiwa wakichanganya…

Rais Magufuli afikiria kuwa na siku 3 za shukrani ya corona, asema waliojifungia watapata njaa mwakani

Rais John Magufuli amewataka watanzania kuendela kuchapa kazi huku akisema nchi waliokuwa na lockdown mwakani watakuwa…

Rais Magufuli asema Lockdown ni utumwa, Vyuo na michezo kufunguliwa baada ya wiki

Rais John Magufuli amesema Lockdown ulikuwa ni utumwa wa ajabu na baada ya wiki moja anatarajia…

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Anna Mghwira apona Corona

Imeelezwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amepona ugonjwa wa Virusi vya Corona (Covid-19)…

Serikali ya Tanzania yasema imechukua hatua 45 kukabiliana na Corona, kushirikiana na mataifa mengine

Msemaji wa Serikali Dk Hassan Abbas amesema Tanzania imeuchukulia ugonjwa wa corona kwa umakini mkubwa huku…