Jaji Kaijage amewaomba viongozi wa dini kuhubiri amani na wagombea kufuata sheria

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage,…

Nape: Washindani wakituchokoza hatuwezi kuwachekea

Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema washindani wakiwachokoza hawawezi kuwaacha. Nape aliandika…

Sugu: Nimeachiwa na polisi bila chaji najiuliza ni kweli walitaka kupora fomu?

Mgombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi, maarufu kwa jina la Sugu amesema…

Mkutano wa Lissu umevamiwa na kushambuliwa

Msafara wa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, umeshambuliwa. “Msafara wa…

Lema: Tukutane ofisi ya Kanda Kaskazini tukampokee Lissu

Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, amewataka wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo…

Ofisi ya Chadema yalipuliwa kwa Petroli na kuteketea

Ofisi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kanda ya Kaskazini imechomwa moto na kuteketea usiku…

Heche aicharua Takukuru kuwaachia CCM waliowakamata kwa rushwa

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, amehoji Taasisi ya Kuzui na Kupambana…

Rais Magufuli amefanya mabadiliko kwa wakuu wa wilaya wawili

Rais John Magufuli amefanya mabadiliko kwa wakuu wa wilaya leo kwa kuwahamisha vituo vyao vya kazi.…

Lissu Amvaa JPM

Mgombea urais kupitia tiketi ya chama cha demokrasI na maendeleo (CHADEMA) na makamu mwenyekiti wa chama…

Lissu Awatahadhalisha Wagombea Upinzani

Mgombea urais kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) amewataka wanachama wa chama hicho waliojitokeza kugombea…