Spika ampa za uso Makonda huku akieleza ajitambui

Spika wa Bunge, Job Ndugai, amemjia juu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda…

Mbunge wa Kenya azidi kujikoroga ashambuliwa vikali katika mitandao ya kijamii

Mbunge wa jimbo la starehe, Charles Njagua, maarufu kwa jina la kisanii Jagur wa nchini Kenya…

Waziri Mkuu atakiwa kuja na majibu kuhusiana na hatma ya Watanzania waliopo Kenya

Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa ametakiwa kutoa msimamo wa serikali kufuatia kauli iliyotolewa na Mbunge wa Starehe…

Kauli ya mbunge wa Kenya yazua balaa

Watanazania na Wachina wanaofanya biashara nchini Kenya wamepewa masaa 24 waondoka la sivyo watapigwa. Kauli hiyo…

Asasi za Kirai watishia kuishtaki serikali mahakamani

Asasi za kirai 300 za nchini wamesema endapo muswada wa mabadiliko ya sheria zinazohusu Asasi za…

Waziri Lugola marufuku mtuhumiwa wa kike kukaguliwa na askari mwanaume

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema mtuhumiwa mwanamke anayefikishwa kituo cha polisi…

Chadema yamvua uanachama Makongoro Mahanga ni baada ya kuwasaliti

Chama cha Demokarasia na Maendeleo (Chadema) kimemvua uanachama Dk. Makongoro Mahanga baada ya kubainika anakihujuma chama…

VAT yakwamisha ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mkoani

Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam, Sipora Liana, ameeleza changamoto kubwa inayowasumbua katika ujenzi wa…

Sumaye : Hata waje na trilioni 50 siwezi kurudi CCM na siogopi vitisho

Aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye amesena hata akihongwa trilioni 50 hawezi kurudi chama cha Mapinduzi…

Naibu Spika: Mbunge Vuma hatapelekwa kwenye kamati ya maadili

Naibu Spika wa Bunge, Tulia Ackson amesema mbunge wa Kasulu Mjini (CCM), Augustine Vuma ambaye alichana…