Waziri Mwalimu ahoji kuna umuhimu gani wa watu kusafiri wakati kuna Corona? Lema amjibu

Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wanachi kujiuliza…

Lema: Natoka Dodoma bungeni kwenda Arusha kusalimia familia je nitakaa karantini kwanza?

Mbunge wa Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema, amesema watu wanatoka nje ya nchi wanakaa karantini kwa…

Makonda: Kaka yangu Kigwangalla chapa kazi achana na mitandao

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemshauri Waziri wa Maliasili na Utali, Dk.…

Mchungaji Msigwa aifananisha taarifa ya Corona na somo la hesabu za uwezekano

Mbunge wa Iringa mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, amesema taarifa ya ugonjwa wa Corona imemkumbusha somo…

Zitto awaelekeza viongozi wa Serikali ya Tanzania namna ya kutoka matamko ya Corona

Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe amewataka viongozi wakuu wa Wizara ya afya kuiga…

Makonda amshauri Kigwangala juu ripoti ya CAG, asema anamkubari achape kazi

Mkuu wa Mkoa wa Dar e Salaam amejikuta ghafla anakuwa mtu wake na Waziri wa Mali…

Mama Sitta asikitishwa na stahiki za watumishi wa umma nchini, ataka maboresho

Mbunge wa CCM jimbo la Urambo nchini Tanzania Magreth Sitta ameiomba Serikali kutafuta suluhisho la tatizo…

Mbunge aonea huruma viuno vya wanaume na wanawake, ataka Serikali ichukue hatua

Mbunge wa Viti Maalum Nchini Tanzania (CCM) Bupe Mwakanata amevione huruma viuno vya wanaume na wanawake…

Viongozi wa Chadema wakata rufaa kupiga hukumu ya mil 350, zilizolipwa na wananchi

Kutokana na kile kinachoonekana kama ni kutokubaliana na hukumu Mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe na wenzake…

Heche asema ameshangazwa na wabunge wa CCM kutamani kupita bila kupingwa

Mbunge wa Tarime vijijini (Chadema), John Heche, amesema amewasikiliza wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wengi…