Baada Ya Morriso Tshishimbi Naye Amalizana Na Yanga

Baada ya sekeseke la usajili wa kiungo mkabaji wa Yanga SC Papy Tshishimbi ameshamalizana na klabu…

Rais UEFA Asema Hakuna Namna Liverpool Atanyimwa Ubingwa

Rais wa shirikisho soka barani ulaya (UEFA)Aleksander Ceferin amesema hakuna namna yoyote ile ambayo klau ya…

Mama Wa Pep Guardiola Afariki kwa Corona

Klabu ya soka ya Manchester City imetangaza kuwa mama wa kocha wa timu hiyo Pep Guardiola…

Nugaz: Tushampa Mkataba Tshishimbi, Bado Hajaurejesha

Afisa uhamasishaji wa klabu ya Yanga Antonio Nugaz ameweka wazi kuwa klabu hiyo tayari imeshampa mkataba…

Yanga wasema wanatamani ligi imalizike bingwa apatikane kihalali

Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Yanga SC wamesema wanatamani kuona janga…

Corona yazidi kutikisa sekta ya michezo, TFF yatangaza hatua nyingine kwa wadau

Ugonjwa wa Corona umeendelea kutikisa soko la bongo hali inayolilazimu shirikisho la mpira nchini (TFF) limetoa…

Morisson wa Yanga awatuliza Watanzania

Mchezaji nyota wa klabu ya Yanga Benard Morisson amewatia moyo Watanzania kwa kueleza kuwa Corona itatoweka…

Mchezaji Mwenza Wa Aston Villa Ya Kina Samatta Apata Corona

Golikipa wa klabu ya Aston Villa Pepe Reina amesema kuwa alikutwa na virusi vya Corona wiki…

Niyonzima: Nilienda Simba Ili Watoto Wiishi Vizuri

Kiungo mshambuliai wa Yanga haruna Niyonzima asmea kuwa lipata wakati mgumu kipindi anasaini mkataba wa kujiungana…

Mkurugenzi Simba Amkana Tshishimbi

Mkurugenzi mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba SCĀ  Senzo Mazingiza amesema klabu hiyo haina mpango wa…