Meya Jacob: Mchungaji leo amesema waumini wajitahidi kutoa sadaka zifanane na uchumi wa kati wakaguna wote

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob, amesema kwenye ibada ya leo Mchungaji wako akiwa anatabasami…

Dondoo za leo: JPM ateua wakurugenzi wengine 5, Moto waua wanafunzi watatu wa bweni Dar, Dunia mbili kubwa zaidi zagunduliwa.

Habari ya asubuhi mdau wa Opera News, tunatumai u bukheri wa afya. Karibu kwenye dawati la…

Dondoo za Leo: ACT Wamkana Membe, Maalim Seif Awapasua wapinzani na Lema ataka ushindani  zaidi Arusha mjini

Habari ya asubuhi mdau wa Opera News, tunatumai u bukheri wa afya. Karibu katika dawati la…

Dondoo za leo: Faida, hasara Tanzania kuingia uchumi wa kati, Serikali yafuta vipindi vya nyongeza na TCRA yafafanua umiliki laini moja

Habari ya asubuhi mdau wa Opera News ni siku nyingine ya Ijumaa Julai 03, 2020, matumaini…

TCRA Yapiga Faini Makampuni Ya Simu

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu kwa kampuni 7 za simu kutokana na makosa ya…

Fatma Karume atoa povu kufutwa majimbo Zanzibar asema ni mpango wa CCM dhidi ya ACT-Wazalendo

Wakili wa Kujitegemea, Fatma Karume, ametoa povu kufutwa kwa majimbo manne ya uchaguzi huku akisema Chama…

Fatma Karume: Nchi imekuwa kiuchumi lakini mshahara haijapanda kwa miaka mitano

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume, amesema wananchi wanasherehekea Tanzania kuwa nchi yenye kipato cha kati ya…

Ajipiga risasi kwenye kidevu baada ya kushindwa kumbaka mtoto wake, afariki

Mkazi wa Mkako mkoani Ruvuma, Beatus Mwingira amejipiga risasi chini ya kidevu kwa kutumia bunduki. Mwingira…

dondoo za leo: TMA yatahadharisha upepo mkali nchini, Gwajima atangaza kugombea ubunge Kawe na shule binafsi ziache ukaidi kwa serikali

Habari ya asubuhi mdau wa Opera News ni siku nyingine ya Alhamisi Julai 02, 2020 matumaini…

Watafiti wa Chuo Kikuu Wabuni Programu Mpya ya simu Kukabiliana na Covid19

Programu hiyo ya simu kwa jina KoviTrace itatumika katika kuwafuata na kuwapata watu ambao walitangamana na…