Lissu amjia juu Sirro ahoji utekaji

Aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki ( Chadema), Tundu Lissu, amemjia juu Mkuu wa Jeshi la Polisi…

Mdude: Nimetekwa karibu na kituo cha polisi nani amekamatwa?

Mwanaharakati wa Chama cha upinzani¬† Mdude Nyagali maarufu kwa jina la¬† Mdude Chadema amesema yeye yupo…

Lissu amcharua IGP Sirro kwa kumuambia analipwa mshara kwa kazi ya kufuatilia jinai zinazotokea nchini

Aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki ( Chadema), Tundu Lissu amemcharua Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP),…

Wasiolima Mazao ya Biashara Kutupwa Rumande

Wakazi wa wilaya Ludewa mkoani Njombe wapo hatarini kuswekwa Rumande iwapo watashindwa kulima zao la Biashara…

Dondoo za asubuhi: Fatma Karume amhoji Sirro kuhusu Lissu, Kigogo amtumia namba IGP na Serikali imepiga marufuku kanisa kanisa la Mfalme Zumaridi

Habari ya asubuhi wasomaji wetu wa Opera News matumaini yetu umeamka salama. Karibu tena kwenye dawati…

Kigogo wa Twitter amtumia IGP Sirro namba ya askari aliyemtishia bastola Nape

Mshabiki wa mtandao wa kijamii wa Twitter maarufa kwa jina la Kigogo ametoa namba za askari…

Fatma Karume ampa za uso IGP Sirro ahoji kama Lissu aliondoka na maganda ya risasi na kamera?

Wakili wa kujitegemea Fatma Karume amehoji kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro…