Dondoo za asubuhi: Fatma Karume amhoji Sirro kuhusu Lissu, Kigogo amtumia namba IGP na Serikali imepiga marufuku kanisa kanisa la Mfalme Zumaridi

Habari ya asubuhi wasomaji wetu wa Opera News matumaini yetu umeamka salama. Karibu tena kwenye dawati…

Kigogo wa Twitter amtumia IGP Sirro namba ya askari aliyemtishia bastola Nape

Mshabiki wa mtandao wa kijamii wa Twitter maarufa kwa jina la Kigogo ametoa namba za askari…

Fatma Karume ampa za uso IGP Sirro ahoji kama Lissu aliondoka na maganda ya risasi na kamera?

Wakili wa kujitegemea Fatma Karume amehoji kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro…