Aliyekuwa mtendaji Mkuu wa MSD kufikishwa mahakamani leo, akutwa na makosa matatu ikiwemo utakatishaji fedha haramu

Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Madawa Nchini (MSD) , Laurian Bwanakunu  na Kaimu Mkurugenzi wa…

Dondoo za leo: Kinana asimulia yaliyomkera na kuamua kumtolea maneno mbaya Rais, Fatma Karume amshangaa Kinana kuomba radhi na Mchungaji Msigwa atangaza nia ya kugombea Urais

Habari ya asubuhi mdau wetu wa Opera News, matumaini yetu umeamka salama. Karibu kwenye dawati letu…

Treni ya Dar es Salaam kwenda Kilimanjaro kuanza kubeba abiria hivi karibuni

Shirika la Reli Tanzania (TRC) linatrajia kurejesha safari zake za treni za mizigo na abiria kati…

Kenya Kufuata Nyayo Za Tanzania Vikao Vya Kujadili Kufungua Nchi Vyaanza

Waziri wa Afya nchini Kenya, Mutahi Kagwe amesema vingozi mbalimbali wanahusika na sekta ya afya wapo…

Aliyetabiri Corona Kuisha Mwezi Juni Afariki Kwa Corona

Mwanazuoni na mtaalam wa elimu ya nyota na utabiri kutoka nchini India aliyetabiri kuwa ugonjwa wa…

Madhara Katazo La Kutoka Nje Polisi Waua 15, 31 Majeruhi

Mamlaka ya usimamizi na uangalizi wa shughuli za polisi nchini Kenya (IPOA) imesema kuwa takribani watu…

Mbatia Awaita CHADEMA, ACT, CUF Uchaguzi Mkuu

Mwenyekiti wa chama cha NCCR- Mageuzi James Mbatia ameviita vyama vingine vya upinzani kuungana na chama…

Lissu Kunguruma Hivi Karibuni

Meya wa Ubungo (CHADEMA) Boniface Jacob amesema kuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu anatarajia…

Dondoo za leo: Tanzania yasitisha shughuli mpaka wa Namanga, Serikali imewasimamisha kazi mabosi wanne kwa ubadhirifu na Takukuru inawashikilia vigogo wanne wa NEMC kwa rushwa

Habari ya asubuhi mdau wetu wa Opera News, matumaini yetu umeamka salama. Karibu kwenye dawati letu…

Vigogo wanne wa NEMC wanashikiliwa na Takukuru kwa rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) inawashikilia vigogo wanne wa Baraza la Taifa la…