Kesi ya jogoo anayepiga kelele imeanza kusikilizwa leo Mahakamani

Kesi ya jogoo aliyeshtakiwa na majirani kuwapigia kelele imeanza kusikilizwa leo katika Mahakama nchini Ufaransa na…

Kigwangalla: Waongeza nguvu za Kiume tumieni nywele zenu

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamos Kigwangall amesema, Kemikali iliyomo kwenye pembe ya faru ni ‘melanin’…

Mwanamke apatwa ugonjwa wa kutosikia sauti za wanaume tu

Mwanamke mmoja China ghafla alijikuta anapata tatzo lisilo la kawada lililomsababishia asiweze kusikia sauti za wanaume.…

Vunja mbavu na maoni ya watanzania kuhusu fuvu la Mtu wa Kale

Saa zingine, unaweza kuona posti mtandaoni, na kuamua kusoma maoni tu au kwa lugha nyingine kusoma…

Gumzo Mitandaoni: Mke amuomba Mumewe amuoe rafiki yake ili naye apate mume.

Wanawake hao pichani wanaelezwa kuwa marafiki walioshibana na Mmoja wa wanawake hao alimshawishi mumewe amuoe rafiki…

Muuguzi aliyeua wagonjwa 100 kwa kuzidisha dozi kwa makusudi ahukumiwa kifungo cha maisha

Muuguzi wa zamani katika kliniki za Ujerumani huko Delmenhorst na Oldenburg, Niels Hoegel (45) ameingia katika…

Video: Jinsi ng’ombe alivyowagomea wachinjani kuwa kitoweo

Kesho ni siku ambayo Waislamu hususan nchini Tanzania wanasherehekea Sikukuu ya Iddi. Hii ni siku ambayo…