Mrema ataka fidia Bilioni 2, itishia kuishitaki Serikali asipolipwa

Mwenyekiti taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP ) Augustine Mrema ameitaka serikali kumlipa Sh2…

Umasikini ulivyomnyima ubunge wa CCM Waziri Waitara

Naibu Waziri wa wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za mitaa Mwita wa Waitara amesema…

Msiba wa Mama Kabendera gumzo mtandaoni

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT- Wazlendo Zitto Kabwe ameomboleza kifo cha…

Kigwangala awatoa hofu Watanzania

Watanzania wameombwa kutotishika na nchi zinazotumia majina ya vivutio vyetu kwenye vyombo vyao vya usafiri kwa…

Waziri Ummy amla kichwa muuguzi aliyembaka mjamzito

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Uuguzi na Ukunga kumsimamisha kazi muuguzi anayetuhumiwa kumbaka…

Mganga wa kienyeji awaponza watafuta madini, Watatu wafariki

Inaelezwa kuwa watu watatu wamefariki Dunia Wilayani Ngara Mkoani Kagera baada ya kukosa hewa kutokana na…

Faida za kulala bila nguo nyakati za usiku

  Mara nyingi tumezoea kulala na nguo nyepesi ifikapo usiku, pia kuna watu wengine hujifunika mashuka…

Mimba milioni 2 hutungwa Tanzania kila mwaka

Jumla ya mimba milioni mbili zinatungwa kila mwaka nchini Tanzania jambo linalosababisha kuwa na ongezeko kubwa…

Rais Magufuli aelezee uzuri na mvuto wa wahudumu wa Air Tanzania

Rais wa Tanzania John Magufuli amesema wahudumu wa Shirika la ndege Tanzania (ATCL) ni wazuri na…

Mitandao ya kijamii ni mwiba kwa Kanisa Anglikana Dar

Unaweza kusema mitandao ya kijamii hivi sasa imechukua nafasi kubwa katika maisha ya watu, kupitia mitandao…