Video: Alalamika kurushiwa mawe yenye moto juu ya bati, mrushaji haonekani

Mkazi wa kijiji cha Tindigani wilayani Siha mkoani Kilimanjaro anyejulikana kwa jina la Godfrey Nasary amesema…

Video: Mwanzo-mwisho mchawi alivyonasa kwenye paa la mchungaji Iringa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa linamshikilia na kumhoji mwanamke Kabula Masunga(41), anayedaiwa kufanya ushirikiana baada…

Kisa wizi apewa adhabu ya kunywa ndoo mbili za maziwa

  Wizi si jambo zuri hata kidogo. Ndiyo sio jambo zuri kwa sababu hurudisha nyuma maendeleo…

Mhadhiri UDSM-Wanafunzi vyuo vikuu hawajui kuoga

Mhadhiri wa Kitivo cha Sanaa ya Ubunifu, Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Dkt Vicensia Shule,…

Waufukua mwili na kuuvua sare za jeshi

Maafisa wa magharibi mwa Kenya wamefukua mwili wa mkaazi mmoja ili kumvua sare alizozikwa nazo kulingana…

Mama mkwe akatakata korodani za mkwe wake!

Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, hakika inasikikitisha kwa tukio la mwanamama kukiri kumuua mkwe wake,…

Mambo yanayoshangaza kuhusu kutumia mkono wa kushoto!

Leo ni Agosti 13  kuna mengi kuhusu tarehe hii, lipi unalijua? Je, mkono wa kushoto unachukuliaje?…

Gumzo: Apata ujauzito na baadaye kujifungua akiwa bikra

Hii tunaweza kusema ‘Ukistaajabu ya Musa Utaona ya Firauni’. Mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Sunny…

Muhimbili yamkana mgonjwa anayedaiwa kujigeuza ndege

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imekanusha juu ya taarifa inayosambaa mitandaoni ikimuonesha mwanamke mmoja mgonjwa anayedaiwa…

Aoa wanawake 15 awachanganya mtu na mdogo wake mkoani Njombe

Katika hali isiyo ya kawaida kutana na Mkazi wa Njombe, Ernesto Mwinuchi aliyeuoa wake 15 akiwachanganya…