Baba Avunja Nyumba Zake Mbili Watoto wake Wasikae

Mzee Iddi Maganga anaemiliki nyumba eneo la Ngarenaro, Arusha amezua gumzo baada ya kuamua kuvunja Nyumba…

Mapya yaibuka Mke aliyepigwa Risasi Mwanza, Ushirikina watajwa

Rafiki wa pande zote mbili yaani Mume na Mke waliouwawa kwa tukio la Risasi Swalha Salum…

Mama aibiwa mtoto baada ya kununuliwa bia Arusha

Mama mmoja mkazi wa kata ya Daraja Mbili mkoa wa Arusha anayefahamika kwa jina la Fatma,…

Jambazi Auawa Baada ya Kujeruhi Wananchi Wawili Kwa Risasi

Kamanda wa Polisi Mkoani wa Geita , ACP Mtatiro Kitinkwi amesema jeshi hilo limefanikiwa kumuua jambazi…

Takukuru yawafikisha mahakamani watu watatu akiwemo Diwani wa CCM

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Dodoma imewafikisha mahakamani Diwani wa kata ya…

Mhadhiri wa Udom aliyetaka ngono kwa mwanafunzi wake afunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Dodoma inatarajia kumfikisha mahakamani Mhadhiri Msaidizi wa…

Mwanamke afikishwa mahakamani kwa kukutwa na risasi 45 Dar es Salaam

Mkazi wa Manzese Argentina jijini Dar es Salaam, Asha Juma, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi…

Takukuru yabaini ubadhirifu ujenzi wa ofisi za Wilaya

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imebaini ubadhirifu katika ujenzi wa Ofisi zake Wilaya…

Wachina mbaroni kwa kuongoza genge la uhalifu

Raia sita wa China wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo…

Baba Mbaroni Kwa Kumbaka Mwanaye Hadi Kumpachika Mimba

Mahakama moja mkoani Mtwara imefikisha kizimbani bwana Joshua Mhema kwa kosa la kumbaka mtoto wake wa…