Lori lagonga nyumba Moro, watatu wafariki

Watu watatu wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya lori kuacha njia na kuvamia nyumba…

BREAKING NEWS: Boeing 737 Yaanguka China

Chombo cha habari cha China kinachomilikiwa na serikali CCTV kimeripoti kuanguka kwa ndege ya Boeing 737…

Baadhi ya watu wamebanwa ndani ya basi baada ya kuangukiwa na lori

Watu kadhaa wamebanwa ndani ya gari baada ya lori kuliangukia basi aina ya Costa katika eneo…

Chanzo Cha Mlipuko wa Beirut Lebanon Chabainika, Habari Kamili

Kulingana na wenyeji, mlipuko wa aina hiyo ni wa kwanza katika hisotoria ya nchi ya Lebanon.…

Ndege ya Jeshi la Kenya Laanguka Somalia, Habari Tatanishi Zaibuka

Ndege hiyo likuwa ikirejea Kenya baada ya kupeleka vifaa kwa AMISOM. Picha: Hisani Ndege hiyo ya…

Watu 10 wamefariki dunia na wengine 100 wameokolewa mkoani Kigoma

Watu 10 wamefariki dunia na wengine 100 wameokolewa baada ya boti waliyosafiri nayo kupatwa dhoruba na…

Polisi Ajifyatulia Risasi Kimakosa na Kujiua Akisafisha Bastola

Maafisa hao pia waliipata bastola yake sakafuni, kando yake ikiwa na vifaa vya kusafishia bastola. Picha:…

Kioja, Polisi Ampiga Risasi Mlinzi Wakisindikiza Pesa Benki Pamoja

Polisi wameanza uchunguzi kubaini chanzo cha mkasa huo. Picha: Hisani. Polisi huyo aliandamana na walinzi wengine…

Kisa cha Wanafunzi Wawili Waliozikwa Hai Kisumu

Wawili walinusurika huku wawili wakipoteza maisha. Picha: Hisani Wanne hao walijipata msibani walipokuwa wakichimba mchanga Wawili…

Watu watano wamefariki dunia na wengine 14 wamejeruliwa wakitokea kwenye harusi

Watu watano wamefariki na wengine 14 wamejeruhiwa baada ya gari la abiria lililokuwa likitoka kwenye¬† ya…