Waziri Ummy afunguka mafua makali yanayowakuta watu sasa

Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, jinsia wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameliongelea tatizo linaloendelea la…

Kisa cha Mwanamke Aliyeachiliwa Kuenda Nyumbani Licha ya Kupatikana na COVID19 Mara 3 Chini ya Siku 32

Jerotich Seii alienda karantini Julai baada ya kupatikana na virusi vya corona Hii ni baada ya…

‘’Hata Kwa Nyani Hatutumii’ Amerika Yatofautiana na Urusi Kuhusu Chanjo ya COVID19

Rais Trump alipashwa habari kuhusu chanjo ya serikali ya Putin. Picha: Hisani. Serikali ya Amerika ilieleza…

Mwanamke Akiri Kuwaambukiza Wengi Virusi Vya Ukimwi Makusudi, Afunguka Kuhusu Chanzo

Harriet akiri kuwaambukiza wanaume virusi vya HIV makusudi. Picha: Hisani Alikiri kuwaambukiza wanaume wengi virusi vya…

COVID19 Yarejea New Zealand kwa Kishindo Baada ya Miezi Mitatu Bila Maambukizi

New Zealand Yarekodi visa Vinne Vya Maambukizi ya COVID19 baada ya Miezi 3 Bila Maambukizi. Picha:Hisani.…

Urusi Yatangulia Kuidhinisha Chanjo ya Kwanza Ya COVID19 Duniani

Rais wa nchi ya Urusi Vladimir Putin. Picha: Hisani Rais wa Urusi Vladimir Putin ameeleza kuwa…

Lionel Messi Anunua Godoro la TSh 3 Milioni Kujikinga Dhidi ya COVID19

Lionel Messi. Picha: Hisani Messi analalia godoro la £900 kumkinga dhidi ya kuambukizwa covid19 Godoro hilo…

COVID19 : Jamaa Aliyekataa Karantini Awaambukiza Wazazi, Wafariki Ghafla

Aliwaambukiza wazazi wake ambao walifariki kutokana na ugonjwa huo yeye akisalia. Picha:Hisani Waziri wa afya alibaini…

Naibu Chifu Afumaniwa Wazi Akimla Mwanafunzi Msituni, Uhondo Kamili

Wawili hao walipatikana msituni wakilambishana asali Habari kuhusu kisa hicho zilienea kijijini na naibu chifu huyo…

KENYA: Zaidi ya Watu 20 wa Familia Moja Waambukizwa COVID19, Mmoja Afariki Ghafla

Kila mmoja katika familia hiyo ametiwa karantini baada ya kupatikana na virusi. Picha: Hisani Mmoja katika…