Habari kubwa kwenye magazeti ya leo Mei 29, 2022

Habari mdau wetu, Karibu utazame kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti…

Baba na Mwana Wahukumiwa Kunyongwa hadi Kufa Mara

Matinde Keranganyi (Baba) na Mwita Matinde (Mtoto) wakazi wa Kijiji cha Genkuru wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa…

Juma Lokole Amtolea Povu Kajala kisa Harmonize

Kupitia Kipindi cha Mashamsham cha wasafi FM mtangazaji Dida Shaibu alimwambia Juma Lokole kuwa kwa sasa…

Wananchi watoa ya moyoni Makonda kutaka kuangamizwa

Wadau mbali mbali wametoa yao ya Moyoni kufuatia aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam…

TUJIKUMBUSHE 2020: Dk. Bashiru asema CCM msifurahie kufukuzwa kwa Membe

Tujikumbushe 2020; Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amewataka wanachama wa CCM…

Rais Samia afanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Machi 31,2022 amefanya mabadiliko madogo…

Lori lagonga nyumba Moro, watatu wafariki

Watu watatu wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya lori kuacha njia na kuvamia nyumba…

Waziri Ummy afunguka mafua makali yanayowakuta watu sasa

Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, jinsia wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameliongelea tatizo linaloendelea la…

Mama aibiwa mtoto baada ya kununuliwa bia Arusha

Mama mmoja mkazi wa kata ya Daraja Mbili mkoa wa Arusha anayefahamika kwa jina la Fatma,…

Kocha afariki baada ya mchezaji kukosa penati Moro

Kocha wa Timu ya Kigurunyembe Morogoro, Peter Dihoko amefariki kufuatia mshtuko alioupata baada ya mchezaji wake…