NUHU MZIWANDA AMVUTA DULLY SKYES KWENYE MACHETE, ALI KIBA AMPA TANO.

Nyota wa muziki wa Bongo Fleva Nuhu Mziwanda ameachia rasmi video na wimbo wake wa Machete…

GOOD NEWS :NAHREEL & AIKA WATARAJIA KIDUME KINGINE.

Msanii Emmanuel Mkono a.k.a Nahreel na baby mama wake Aika wanatarajia kupata mtoto mwingine wa kiume…

MASHABIKI WAMSHUKIA NANDY KISA MAREHEMU RUGE, TUMECHOKA BANA!

ol! Plz let him rest in peace❤️, muache mbaba wa watu uxijafanye unamkumbuka wakat………. Hizi ni…

VIDEO: BAUNSA WA HARMONIZE AMSHUSHIA KIPIGO SHABIKI TABATA,MWINGINE AZIMIA.

Shabiki wa mwanamuziki Harmonize kutoka WCB hatoisahau Idd pili baada ya kushushiwa kipigo cha nguvu na…

CHECK HAPA MASTAA WALIVYODAMSHI KUSHEREKEA SIKUKUU YA IDD,NANI ALITUPIA ZAIDI?

Watu maarufu kama ilivyo kawaida nwatu wengine wamesherekea vyema sikukuu ya idd ,na kwa kawaida sherehe…

OMMY DIMPOZ AZUA GUMZO MTANDAONI NA MTOTO,MWENYEWE AULIZA, MASHABIKI WAMJIBU!

Je ni mtoto wake? Na lini kazaliwa? Ni baadhi ya maswali wanayojiuliza mafans wa msanii Ommy…

MARLAW AIBUKIA KWENYE SHOW YA DIAMOND KAHAMA,ASEMA AMEMPA HAMASA.

Unakumbuka nyimbo kama Rita na Pipii zilizotamba hapo nyuma, bila shaka huwezi kumsahau aliyekua nyuma ya…

MMHH! MAUNO HAYA YA TANASHA ,DIAMOND PLATNUMZ ASHINDWA KUVUMILIA!

Una mauno wewe? Unaweza kukatika? Unajiamini na style zako za kucheza? Haya bana,Mrembo Tanasha kutoka 254…

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOAACHA HISTORIA KWENYE SHOW KAHAMA.

Ubunifu,uwezo wa team yake,  na hamasa kutoka kwa mashabiki umefanikisha historia kuandikwa katika mji wa Kahama …

VIDEO: SUGU AKIMCHANIA MISTARI MTOTO WAKE MPAKA AKANYAMAZA.

Mbunge na msanii wa muziki nchi Tanzania Mh. Joseph Mbilinyi ama Sugu uhenda sio yuko vyema…