Majaliwa bado anakabana na Wazanzibar

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa bado hajamalizana na Wazanzibar bana amesema wataendelea kuwa wakali wanapoona kuwa mambo…

Mikoa hii ikae chonjo, TMA yaitabiria mvua kubwa yenye kuleta madhara

Tahadhari imetolewa mwa mikoa 20 hapa nchini ambayo Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania( TMA) imetabiri…

Simba yavuna pointi 3 kwa Namungo Fc, Goli la ushindi utata mtupu!

Goli la ushindi la mabingwa wa watetezi limekuwa gumzo kutokana na kile kinachoelezwa kuwa mshambuliaji Meddie…

Serikali yenena kuhusu ukusanyaji wa kodi

Baada ya kufanikiwa kuongeza ukusanyaji Serikali ya Tanzania imefunguka siri ya mafanikio hayo ikisema ulipaji kodi…

Chadema waibua mapya Mkataba wa madini kati ya Serikali Barrick

Suala la mkataba wa madini katika ya Serikali na Barrick limechukua sura mpya ambapo Waziri Kivuli…

Mfungwa mashuhuri kuishi kama Ulaya, Tanzania

Kuna nchi ambazo mfungwa anachokikosa gerezani uhuru tu wa muda wote lakini maisha yanaendelea kama kawaida…

Kama kawaida Samatta atesti mtambo Aston Villa ikitinga fainali ya Carabao

Kapteni wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta ambaye hivi karibuni amejiunga na klabu ya…

Serikali yasema Lindi hali sio nzuri, Idadi ya vifo yaongezeka

Kutokana na mvua zilizonyesha na zinazoendelea katika Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi hali ya maisha ya…

Hizi ndizo dalili na kinga ya ugonjwa unaoisumbua China, Dunia

Mpaka sasa watu zaidi ya 100 wamethibitika kupoteza maisha kutoka homa ya virusi vya Corona iliyoibuka…

Mswaada dhidi ya wavuvi haramu wamstua Mbuge asema wengi watafungwa

Katika juhudi za kupambana na uvuvi haramu Serikali inakusudia kufanya mabadiliko ya sheria ili kuongeza adhabu…