Kuelekea mechi ya Watani wa jadi Mashabiki wa Yanga waanza Zogo wadai ushindi.

Wakati klabu ya Yanga ikiendelea na maandalizi kuwakabili wagosi wa kaya (Coastal Union) katika mchezo unaofuata…

Mbunge wa Chadema azuiliwa kufanya mkutano wa hadhara

Mbunge la polisi wilayani Momba limemzuia mbunge wa Chadema jimbo la Tunduma Frank Mwakajoka kufanya mkutano…

Shamsa afunguka video yake ya ngono, asema imemlipa kibiashara

Juzi juzi hapa kulikuwa na uvumi kuwa Shamsa Ford ameachia mzigo huo mitandaoni akiliwa uroda, mimi…

Shafii Dauda autaka Urais wa TFF

Mchambuzi wa soka ja mkuu wa vipindi wa Clouds Fm Shafii Dauda amesema anaitamani sana nafasi…

Haya ndiyo maisha ya sasa ya Samatta, Afunguka hatma yake Villa ikishuka daraja

Mchambuzi wa soka maarufu nchini Shafii Dauda amesema Mbwana Samatta hajabadili tabia tangu alipoanza kucheza ligi…

Hatma ya Halima Mdee kufahamika Aprili Mosi

Mbunge wa Chadema jimbo la Kawe Halima Mdee anakabiliwa na shtaka la kutoa lugha chafu dhidi…

Museveni awashikilia Watanzania wawili kwa wizi wa Dawa za Serikali

Watanzania wawili wanashikiliwa nchini Uganda kwa wizi wa Dawa za Serikali zenye thamani ya Shilingi milioni…

Sheikh aomba huruma ya Mungu virusi vya Corona kuingia nchini

Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Alhad Salum ameomba huruma ya Mungu kuikinga Tanzania na…

Mmoja ashikiliwa na polisi, kifo chenye utata mkubwa Serengeti

Jeshi la polisi Mkoani Mara linamshikilia mtu mmoja kufuatia kifo chenye utata ambapo inaelezwa kuwa mwili…

Wananchi Tarime wadai uchaguzi wa Serikali za mitaa uliopita

Mbunge wa Chadema jimbo la Tarime vijini John Heche amesema Jimboni kwake wananchi bado wanahitaji uchaguzi…