Mbunge wa Chadema atangaza kukihama chama hicho

Mbunge wa Moshi Vijijini (Chadema) Anthony Komu leo ametangaza kwamba atajivua nafasi ya uanachama ndani ya…

Serikali ya Uingereza yawataka raia wake kuondoka nchini Tanzani upesi

Serikali ya Uingereza imeendelea kuwasisitiza Raia wake waliopo nchini Tanzania kuondoka mapema kabla anga halijafungwa. Hatua…

Mgonjwa mpya wa Corona aripotiwa Zanzibar, Tanzania wafikia 14

Visiwani Zanzibar kumeripotiwa kuwa na mgonjwa mwingine wa Virusi vya corona hivyo idada ya wangonjwa nchini…

Makonda amjibu Waziri suala la kumtangaza mtoto wa Mbowe kuwa na Corona asema yupo sahihi

Baada ya Waziri wa afya kumkosoa Mkuu wa Mkoa wa Dar e Salaam kwa kitendo chake…

Profesa Lipumba apigilia msumali suala la kufunga mipaka kunusuru uchumi wa nchi

Mwenyekiti wa Chama cha wananchi CUF ambaye ni mtaalamu wa Uchumi amesisitiza suala la nchi kuchukua…

Mbowe afanya mazungumzo na Profesa Lipumba akiwa Karantini, watume ujumbe

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha…

Gambo: Lema hapewa kibali cha mikutano wa hadhara lakini ameacha kwa kukosa watu

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema Mbunge wa Chadema katika jimbo la Arusha mjini…

Bosi wa Halotel na wenzake mbaroni kwa kuhatarisha usalama wa taifa, hasara kwa Serikali

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu ya Halotel, Son Nguyen (46) pamoja amefikishwa katika Mahakama ya…

Waziri Mkuu akutwa na Corona, ajiweka karantini kazi zake zitafanyika nyumbani

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada ya kupimwa…

Corona yapunguza utalii hifadhi ya Serengeti kwa asilimia 99.6

Idadi ya watalii katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti imepungua kwa asilimi 99.6 kutokana na madhara…