Lema ang’aaka kuzushiwa kuhamia CCM asema kuingia chama hicho ni sawa na Yesu kukubali kufanyakazi pamoja na shetani

Mbunge wa jimbo la Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema ameng’aka baada ya kutengenezewa uzushi kuhamia chama…

Fatma Karume: Roho ya mwanamke thamani yake haifikii ng’ombe mmoja mnatia aibu sana

Aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume, ameendelee kuibana mahakama kwa kitendo cha…

Mbunge Lema: Kuwakalisha washtakiwa kwa muda mrefu mahakamani ni uonevu

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, amesema mahakama inapaswa kutambua kuwa washitakiwa wanaofika¬† mahakama kwa…

Lema azidi kutibua aweka picha ya gari kukwama arusha kijembe hujumu uchumi

Mbunge wa jimbo la Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema,¬† azidi kutibua hali ya hewa aweka picha…

Mbunge Heche aendelea kumcharua RC Gambo amuita mjinga

Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, amemtolea povu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo…

Msanii JayDee: Ninawashangaa watu wanaosema ninakupenda lakina sina uwezo

Msanii wa muziki wa bongo flave, Judith Wambura maarufu kwa jina la Lady JayDee amesema huwa…

Lema aicharua TRA Arusha awaambia kama hawana Jenereta wamfuate awape sio kwamba ana hujumu uchumi

Mbunge wa jimbo la Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema, amesema Mamlaka ya Mapato (TRA) mkoani Arusha…

Fatma Karume ashangazwa kuona bei ya roho ya mwanamke ni Sh 300,000 kwa mujibu wa Mahakama

Aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume, amesema bei ya roho ya mwanamke…

Mbunge Selasini atoa povu asema endeleeni kupiga ramli haondoki Chadema labda afukuzwe

Mbunge wa jimbo la Rombo (Chadema), Joseph Selasini amevunja ukimya na kusema hana mpango wa kuhama…

Afariki dunia kwa kunywa pombe nyingi

Mkazi wa Ukenyenge wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, Nkuba Mawe (27) amekutwa amefariki dunia kwenye kibaraza cha…