Mbunge Lema amemtaka Jaji Mkuu kufanya maboresho ya sheria na sio kulalamika

Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amemuambia Jaji Mkuu, Ibrahim Juma hapaswi kulalamika…

Mbunge Lusinde: Nimemuweka Membe kiporo nikirudi nitamshughulikia

Mbunge wa jimbo la Mtera (CCM), livingstone Lusinde amesema amemuweka kiporo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya…

Mbunge Lusinde: Nimefurahi sana Musiba kuwatukana makatibu wastaafu

Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amesema amefurahi kwa uamuzi alioufanya Cyprian Musiba kwa kuwatuna makatibu wastaafu…

Lusinde akinunisha sakata la Makamba na Kinana asema kashfa zao wanaweza kuhama nchi

Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde usinde, amemuomba Rais John Magufuli ambaye ni mwenyekiti wa chama kuruhusu…

Jaji Mkuu: Hawa wanaosema kamata weka ndani inachangia ongeleko la magereza

Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahimu Juma amesema kauli zinazotolewa zinazosema kamata weka ndani zinachangia ongeleko la…

Jaji Mkuu:Rais kuwaondoa wafungwa gerezani hakuna athari tayari mahakama ilishafanyia kazi

Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahim Juma amesema alichokifanya Rais John Magufuli cha kuwaondoa wafungwa gerezani haina…

Jaji Mkuu achukuzwa na wapelelezi wanaokamata mtuhumiwa kabla ya kukamilisha upelelezi

Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahimu Juma amesema kesi zinatakiwa kufikishwa mahakama baada ya upelelezi kukamilika lakini…

Jaji Mkuu Juma amependekeza kesi zote kutolewa dhamana hadi za mauaji

Jaji Mkuu wa Tanzania, Ibrahimu Juma amependekeza makosa yote kupewa dhamana hadi za mauaji ili kupunguza…

Ukiona mwanaume wako hakushirikishi jua wewe ni mchepuko

Kuna mambo muhimu ambayo baadhi ya watu huyafanya wakati wanapokuwa katika mahusino. Unapokuwa na mpenzi kwa…

Waziri Lukuvi awasimamisha maofisa ardhi kwa tuhuma za rushwa

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amewasimamisha kazi maofisa ardhi wa wilaya…