Msanii Nandy atoa povu na matapeli wanaotumia jina lake, asema hana Supermarket

  Mwanamuzi wa bongo flave, Faustina Charles maarufu kwa jina la Nandy ametoa povu katika mtandao…

Takukuru yamfikisha mahakamani mfanyakazi wa Nida kwa kuomba rushwa ya Sh 15,000

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Singida imemfikisha mahakamani Meshack Myemba kwa tuhuma…

Fatma Karume : Lissu hawezi kusahulika katika awamu ya tano alivyopigwa risasi

Wakili wa Kujitegemea, Fatma Karume amesema kila ikitaja awamu ya tano halitaweza kusahulika tukio la Aliyekuwa…

Fatma Karume asema kuwepo kwa maabusu wengi gerezani ni kushindwa kwa mfumo wa mashitaka

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amesema kuwepo kwa mahabusu wengi katika magereza¬† inaonyesha mfumo wa mashtaka…

Heche: Kila mwenye mawazo tofauti na CCM wanataka auliwe, mtatoka tu madarakani

Mbunge wa jimbo la Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, amesema kila mwenye mawazo tofauti na Chama…

Diwani wa Chadema acharangwa mapanga Mbeya

Diwani wa Kata ya Isesye wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Mbeya Ibrahim Mwampwani,…

Membe alieleza jinsi alivyohojiwa kwa saa tano

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya nje, Bernard Membe, amesema mjadala ulikuwa ni mzuri uliodumu kwa saa…

Fatma Karume: Masaa 12 yamepita nilijua nitakamatwa kwa kuwaita wapumbavu

Wakili wa Kujitegemea, Fatma Karume¬† amesema imepita masaa 12 tangu alivyoandika katika mtandao alizani atakamatwa. “Nilidhani…

Rais Magufuli: Mishahara ya watumishi wote haitoshi hata wangu haunitoshi, tujenge nchi

Rais John Magufuli amesema anatambua mishahara ya watumishi haitoshi na hata wa kwake hautoshi kinachotakiwa ni…

Fatma Karume amuwashia moto waziri Palamagamba kutokana na kauli aliyoitoa

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume, amemtolea povu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…