Watu kadhaa wamebanwa ndani ya gari baada ya lori kuliangukia basi aina ya Costa katika eneo…
Author: Beatrice Shayo
Nape: Uchaguzi ukiisha tabu inabaki kwa wapambe ambao leo wanakesha karibu kuchomoka roho
Mgombea ubunge jimbo la Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema uchaguzi unapomalizika wakubwa hukutana na kumaliza tabu…
Kinachojiri kwenye magazeti ya leo Agosti 17, 2020
Habari mdau wetu leo ni siku ya Jumatatu Agosti 17, 2020 tunakukaribisha utazame kile kilichoandikwa katika…
Lema: Tume chukua hatua kwa vyombo vya ulinzi na usalama
Mgombea Ubunge jimbo la Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, ameitaka Tume kuwachukulia hatua vyombo vyake ulinzi…
Jaji Kaijage amewaomba viongozi wa dini kuhubiri amani na wagombea kufuata sheria
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage,…
Nape: Washindani wakituchokoza hatuwezi kuwachekea
Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema washindani wakiwachokoza hawawezi kuwaacha. Nape aliandika…
Sugu: Nimeachiwa na polisi bila chaji najiuliza ni kweli walitaka kupora fomu?
Mgombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi, maarufu kwa jina la Sugu amesema…