Tunapoteza Wanajeshi 60-100 kwa siku- Zelenskyy

Wanajeshi 60 hadi 100 wa Ukraine wanauawa kila siku katika vita na Urusi, Rais wa Ukarine amesema, na kuongeza kuwa karibu 500 wanajeruhiwa kila siku.

Akizingumza na kituo cha habari chaa Newsmax huko Kyiv, Zelenskyy pia alisema kwamba maombi ya Ukraine ya silaha za masafa marefu yalikuwa kwa Ukraine kulinda eneo lake, sio kushambulia Urusi kwa wao.

“Hatupendezwi na kile kinachotokea nchini Urusi. Tunavutiwa tu na eneo letu nchini , “alisema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *