Ukraine: Makombora ya Urusi Hakuna Kitu

Mkuu wa Majeshi wa Ukraine amesema, Urusi imerusha zaidi ya makombora 1200 tangu uvamizi uanze na zaidi ya asilimia 59 ya makombora hayakulipuka, na mengineĀ  kuagushwa na mfumo wa makombora na mengine yalipotea.

Kupitia ukurasa wake wa Telegram alindika “Urusi wamerusha zaidi ya maombora 1,200, nusu yake hayakulenga shabaha,”

“Mengine yaliangushwa na mfumo wa anga, au hayakulenga shabaha na kuoiga milima, misitu, mito,” alisema

Moja wa maofisa wa Penton mapema mwezi huu alisema Urusi ilikua imeishiwa na makombora yanalonga kwa usahihi na sasa wanatagemea makombora bubu na mizinga.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *