Lori lagonga nyumba Moro, watatu wafariki

Watu watatu wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya lori kuacha njia na kuvamia nyumba eneo la Mikumi wilayani Kilosa mkoani Morogoro.

Majeruhi Rajabu Kapomba amesema ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo machi 25 mwaka huu baada ya Lori hilo lenye tela namba za Usajili T.947BQB lililokuaa litokea Songea kuelekea Dar es salaam kufeli brenki na kugonga nyumba.

Daktari wa zamu hospitali ya St. Kizito Mikumi Simon Veda amethibitisha kupokea miili ya Watu hao watatu akiwemo Dereva, abiria mmoja na Mtembea kwa miguu huku majeruhi akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali hiyo.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by CR millard ayo (@millardayo)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *