Trilioni 350 za Urusi Zazuiliwa Uswisi

Muungano wa mabenki nchini Uswisi umesema umezuia takribani zaidi ya Dola Bilioni 160 – 213 (Takriban Tsh. Trilioni 372 – 495) Nchini humo

Uswisi imekua ikisifiwa kwa kuzingatia Faragha za watu wanaowekeza pesa nchini humo kutoka mataifa mbalimbali, hali imeonekana kubadilika baada ya Urusi kuivamia Ukraine.

Rais Ignazio Cassis amesema watazuia fedha hizo za Rais Vladimir Putin, Wanasiasa na Wafanyabiashara.

Urusi imewekewa vikwazo na Umoja wa Ulaya (EU) kutokana na mashambulizi ambayo Taifa hilo linafanya dhidi ya Ukraine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *