Msemaji wa familia ya Hayati Rais John Magufuli amesema kabla ya mauti kumkuta, Rais alibahatika kuongoza sala ya maombi na nyimbo.
Aidha, alipata sakramenti ya Kitubio na Mpako wa Wagonjwa ambazo ni kati ya sakramenti za Wakatoliki. Pia, alipata kufanyiwa dua na Sheikh Abubakar Zubeir ambaye ni mufti wa #Tanzania
https://www.youtube.com/watch?v=4qsjPcVp85g