Tanzia: Prof. Benno Ndulu Afariki Dunia

Profesa Benno Ndulu, alikuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2008 hadi 2018. Amefariki dunia Februari 22 katika  Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam.
Prof. Ndulu pia amefundisha Uchumi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Pia, ana machapisho kuhusu Ukuaji wa Uchumi, Utawala na Biashara.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *