Halima Mdee, wenzake waitwa kujieleza

Katibu Mkuu wa chama, John Mnyika amewataka Wabunge Wanawake 19 walioapishwa jana akiwemo Halima Mdee na Ester Bulaya kufika Makao Makuu ya chama Siku ya Ijumaa ili kujieleza baada ya kuapishwa bila ridhaa ya chama hicho

Mnyika amesisitiza kuwa CHADEMA haikupeleka orodha ya Wanachama ktk uteuzi wa Wabunge wa Viti Maalum. Asema Kamati kuu ya Chama haijawahi kufanya kikao cha kuteua majina ya Wabunge wa Viti maalum

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *