BREAKING: Dr. Tulia ashinda Ubunge MBEYA MJINI

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Mbeya Mjini, amemtangaza Dr. Tulia Ackson wa CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge kwa jimbo hilo ambaye amepata kura 75,225, akifuatiwa na Joseph Mbilinyi wa CHADEMA aliyepata kura 37,591.

Shangwe na vifijo vimesikika ukumbini baada ya Tulia Kutangazwa. Joseph Mbilinyi anakua mbunge wa pili wa kupoteza ubunge wake baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA kupoteza pia ubunge huko jimbo la Hai.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *