Baadhi ya watu wamebanwa ndani ya basi baada ya kuangukiwa na lori

Watu kadhaa wamebanwa ndani ya gari baada ya lori kuliangukia basi aina ya Costa katika eneo la Nanenane  mkoani Morogoro.

Taratibu za kuwaokoa watu hao linaendelea.

Taarifa kamili kuhusiana na tukio hilo tutawajulisha baadaye baada ya kumpata Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *