Bingwa wa Ndondi Mayweather kurudi Uwanjani Baada ya Kustaafu, Uhondo Kamili

Huenda Mayweather atarejea uwanjani mwaka huu Bingwa huyo wa ndondi anadaiwa kumaliza hela zote alizowehifadhi Mwanandondi…

Mbwa wa Kwanza Kupatikana na COVID19 Afariki Amerika

Buddy alipatakana na corona Mei 2020 baada ya kuanza kuugua tangu Aprili 2020 Indaiwa kuwa mbwa…

Waziri Kamwelwe amtumbua Meneja wa Tanroads

  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, ametengua nafasi ya Meneje wa Wakala…

Rais wa Gambia Atiwa Karantini, Naibu Wake Apatikana na COVID19

Adama atajitenga humo kwa wiki mbili. Picha: Hisani Rais wa Gambia Adama Barrow ameingizwa karantini baada…

Takukuru inamshikilia mfanyabiashara Alute kwa kufanya utapeli wa nyumba na viwanja

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Manyara inamshikilia Japhet Samweli Alute kwa kufanya…

Jamaa aliyemuua Nyani Uganda Afungwa Miaka 11 Gerezani

Aina hiyo ya nyani (Mountain gorillas) ni nadra mno. Picha:Hisani Felix Byamukama alikiri kumuua nyani huyo…

Fatma Karume amelicharua jeshi la polisi na kuwaambia tusitishane kabisa

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amesema alilalamika kuhusu jengo lake kupigwa bomu na hakuna majibu yoyote…

Mke wa Rais wa Brazil Aambukizwa Covid19

Mkewe Rais wa Brazil Jiar Bolsonaro amepatikana na virusi vya corona, hii ni kwa mujibu wa…

Dondoo za leo: Watu 10 wamefariki na 100 waokolewa, Kesi ya Lissu na mustakabaliwake katika safari ya Urais na Shahidi aeleza Diwani wa CCM alivyopokea rushwa

Habari ya asubuhi mdau wa Opera News ni siku nyingine ya Ijumaa Julai 31, 2020, matumaini…

Watu 10 wamefariki dunia na wengine 100 wameokolewa mkoani Kigoma

Watu 10 wamefariki dunia na wengine 100 wameokolewa baada ya boti waliyosafiri nayo kupatwa dhoruba na…