Makosa ambayo wanaume wanakosea katika penzi jipya ni pamoja na kumlazimisha mpenzi akunyonye

Wanaume inabidi kuwa makini linapokuja suala la kufanya mapenzi na mpenzi mpya yaani ile siku ya kwanza namaanisha hamjawahi kukutana kimwili tangu mlipoanza uhusiano wenu.

Hapa hakuna anayejua kwa usahihi kwamba mwenzake anapenda afanyiwe nini ili kupata raha ya kushiriki  katika mapenzi.

Wanawake wengi hulichukulia jambo hilo kwa uzito mkubwa kiasi kwamba, kama mwanaume asipomudu kuwa mtundu kitandani, nafasi yake kwa mwanamke huyo inaweza kuwa finyu sana labda tu kama atakuwa amempenda kwa sababu ya fedha zake au la.

 

Kuna makosa ambayo wanaume wanayafanya kwa wapenzi wapya pindi wanapokuwa faraga ambayo wanawake huyawekea uzito bila ya wao kujua.

Jambo la kwanza Kumuandaa mwanamke pindi mnapokuwa kitandani hapa wanaume naomba muwe makini maandalinzi usisubiria kuwa faraga. Hapa maandalizi huanzia tangu mnapokuwa mnawasiliana.

Mwanaume anatakiwa aongee na mpenzi wake kwa lugha nzuri, kwa maneno matamu na yenye mahaba. Atumie muda mwingi kuzungumza naye, asiwe na haraka kuanza kufanya tendo.

Mazungumzo yahusu masuala ya uhusiano ukiwemo upendo huku ukimpa mabusu yenye utulivu na sio yale ya vurugu ili kuamsha hisia za mwanamke kushiriki tendo.

Hapa mwanaume anashauriwa kuwa msomaji mzuri wa hisia za mwanamke ili kujua ni eneo gani akimgusa kwa kumpapasa mwili wake unasisimka.

 

Wanamke kufanya mapenzi sio kile kitendo cha kuingiliwa, bali ni kitendo cha kumuandaa kiakili na kimwili aweze kushiriki tendo hilo na hatimaye kuridhika endapo akili yako itakuwa inawaza kumuingizia mashine bila kumfikisha kileleni hapo ujue ni makosa unayafanya.

Jambo la pili Wanawake wengi wanachukia kufanya mapenzi na mtu ambaye ni mchafu hilo linaweza kumfanya mwanamke asikubali kukutana tena na wewe.

Jamani lile tendo linahitaji usafi msipokuwa wasafi mtajikuta mnatengeza bomu wakati mwingine utakuta mwanaume ananuka kikwapa au amevaa boksa wiki nzima bila kuifua na akiivua eneo la chini linanuka au ana kucha ndefu tena chafu na zina ncha kali kwenye kona kiasi kwamba akimpapasa mwanamke zinamkera badala ya kumpa raha.

 

Sasa akifungua mdomo unanuka, yaani akimpiga busu mwanamke anamkata stimu yote ya kufanya tendo hata kama alikuwa tayari.

Jambo la tatu wanawake hawapendi mapenzi ya kuumizana. Mapenzi yanafanywa kwa taratibu kuna wengine ufanyaji wake utasema anachimba madini ya dhahabu.

Wanawake tunapendwa kusuguliwa kwa taratibu mwanaume ambaye anafanya mapenzi kwa vurugu tena ndio umekutana na mpenzi mpya lazima ukimbiwe jaribu kuwa mtulivu unapo faraga.

Jambo la nne Mwanaume unapokuwa faraga jitahidi kuzungumza na mpenzi wako hata kama midadi ndio imekukolea unashindwa kuongea muite mpenzi wako kwa maneno mazuri sio kukaa kimya mpaka mwisho wa game.

Ngoja nitoa angalizo kama mwanaume ni mtu wa kuongea sana wakati wa kufanya mapenzi anaweza kumpotezea mwanamke umakini wa kuvuta hisia ili kufika kileleni.

Kwani kuna baadhi ya wanaume huwauliza wanawake wanaofanya nao mapenzi maswali mengi yasiyo na maana.. “Unauonaje huu mtindo.” “Unajisikiaje nikikushika hapa.” “Je ninafanya vizuri na huumii.” Lo lo lo lo loooooo….Huna haja ya kuuliza maswali yote hayo, kwani mwili wake unakupa ushirikiano sasa maswali yote hayo ya nini….! Najua hakuna ubaya kumuuliza mwanamke kama anajisikiaje au kama unavyofanya ni sahihi kwa maana kama mtindo unaotumia haumuumizi, lakini hilo hufanyika katika hatua ya mwanzo, sio pale mchezo umekolea unaanza kuuliza maswali, unakuwa unamkera mwenzako.

Jambo la tano ni wanaume kulazimisha kunyonywa uume hapa wanaume mnakosea  si vizuri  kumlazimisha mwanamke kunyonya bila ridhaa yake.

Kama anapenda kufanya hivyo mwache aamue mwenyewe na sio umshike tu kichwani na kumuelekeza yalipo maumbile yako. Kama mwanamke anapenda kufanya hicho kitendo mwache afanye mwenyewe na sio kuanza kuingiza mashine mdomoni mwake.

kunyonya uboo ni kipaji sio kazi nyepesi kama mnyavyozani wanaume, wapo wanawake ambao wanaona kimyaa na wapo ambao hatuoni shida tunaweza kunyonya hadi kukakucha mambo yakawa burudani tu.

Jambo la sita ni kitendo cha kumaliza haraka au kuchelewa kumaliza hapa naomba tuelewane kama mwanaume anaingiza uume wake ndani ya dakika tatu kashakojoa hapa kaka yangu ni tatizo naomba ukamuone daktari mapema wanawake watakukimbia

Kwa wanawake wengine inaweza isiwe ni tatizo iwapo utamuandaa vizuri kabla ya kumuingilia ili kama ni kumaliza mmalize pamoja hivyo kutogundua tatizo lako labda..! lakini kama sio mzuri katika kumuandaa mwanamke, linaweza kuwa tatizo na ukajikuta anakudharau baada ya kumaliza tendo.

Kama ni siku ya kwanza kukutana na mpenzi mpya inaweza kukufanya ukamaliza haraka kutokana na kupania, lakini basi jitahidi mara ya pili uende sawa usije ukamaliza haraka tena.

Lakini pia wanawake hawakuumbwa kwa ajili ya mashindano ya mbio za kufanya mapenzi. Nakubali kwamba wapo baadhi ya wanawake wanahitaji muda zaidi ili kufika kileleni. Lakini kama itachukua dakika 45 mpaka saa moja bado mashine haifiki kileleni, angalia usije msababishia mwenzio michubuko katika sehemu zake za siri.

Mapenzi yanahitaji raha na sio karaha hivyo kwa mpenzi hivyo anapokutana na mashine ambayo lisaa imefika haifiki kileleni kuna uwezekano akaogopa kuendelea kuwa na wewe katika  mahusiano. Maana hakuna ambaye anapenda kupata maumivu katika mapenzi wengi tunataka raha mwanzo mpaka mwisho wa game.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *