Lema asema wanafanya mchezo kwenye Corona italeta majuto makubwa

Mbunge wa Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema amesema wanafanya mchezo kwenye ugonjwa wa Corona hali ambayo imesababisha wananchi kuishi maisha ya kawaida.

“Mmefanya watu wanaishi maisha ya kawaida sana mitaani kwa sasa. Ni jambo baya kubashiri majanga kwa nchi yako,” amesema Lema.

Lema aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter kuwa kwa mwendo huo na matendo wataleta majuto makubwa kwa familia nyingi.

“But karma will pay you back 100 times,” aliandika Lema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *