Fatma Karume: Polisi wanataka kutuambia kicheko cha Idris kimemletea shida Rais?

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amesema haelewi ina maana jeshi la polisi wanataka kusema kicheko cha Idris Sultan kimemfedhehesha Rais John Magufuli.

“Mimi suelewi. Kweli @tanpol wanataka kusema kwamba kicheko cha Idris kimemsababisha Magufuli Emotional Distress chini ya section 23 ya Cybercrime Act? Wanaelewa maana ya emotional distress kweli?,” aliandika Fatma kwenye ukurasa wake wa Twitter.

“It psycholocal problem! Mnaelewa katiba?,”

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *