Askari aliyeokoa uhai wa mtoto wa mwaka mmoja aliyetupwa chooni apandishwa cheo

Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga amempandisha cheo Danis Minja wa jeshi…

Fatma Karume: Polisi wanataka kutuambia kicheko cha Idris kimemletea shida Rais?

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amesema haelewi ina maana jeshi la polisi wanataka kusema kicheko cha…

Jeshi la polisi limepiga marufuku mikusanyiko ya watu hasa sherehe za Eid el Fitri

Jeshi la polisi limesema kuwa sikukuu ya Eid el Fitri itasherehekewa huku dunia ikiwa imekumbwa na…

Waziri Ndalichako atangaza tarehe ya kuanza mtihani kwa kidato cha sita

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, ametangaza rasmi tarehe ya kuanza kwa mitihani…

Dondoo za leo: Lema asema wanafanya mchezo kwenye Corona, Mrema amvaa Lowassa amuambia amerudi utumwani na Mdee asema kumshikilia Idris ni matumizi mabovu ya fedha za umma

  Habari ya asubuhi mdau wetu wa Opera News, matumaini yetu umeamka salama. Karibu kwenye dawati…

Mrema amvaa Lowassa amuambia amerudi utumwani

Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema uongozi ni…

Lema asema wanafanya mchezo kwenye Corona italeta majuto makubwa

Mbunge wa Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema amesema wanafanya mchezo kwenye ugonjwa wa Corona hali ambayo…

Mdee: Kumshikilia Idris ni matumizi mabovu ya fedha za umma hiyo picha ya Rais na mimi niliipenda

Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee, amesema kuendelea kumshikilia mchekeshaji Idris Sultan ni matumizi mabovu ya…

Diwani wa CCM afikishwa mahakamani kwa kupokea rushwa ya Sh milioni moja

DIWANI wa Kata ya Kijichi halmashauri ya Manispaa wa Temeke kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM), Elias…

Kinachojiri kwenye magazeti ya leo Mei 22, 2020

Habari ya leo mdau wetu. Ni siku nyingine ya Ijumaa ya Mei 22,  2020 karibu utazame…