Ray : Mimi Ndo Nilimbeba Kanumba

Eti kuna Bifu kati ya Steven Kanumba na' Ray' Kigosi?Leo ikiwa ni miaka nane imepita tangu staa wa muigizaji Steven Kanumba kufariki dunia staa mwenzi ambaye alikuwa mshindani wake kwenye tasni hiyo Vincet “Ray” Kigosi amefunguka kuwa kifo cha Kanumba kimathiri kiasi kikubwa uwezo wake

licha ya kuadhili soko nanuwezo wake pia Ray amesema yeye alitumia umaarufu wake aliopata kabla ya kina Kanumba kuwainua akina na kuwafikisha walipofika kwa sasa

“kila mtu anazaliwa na nyota yake kwa hiyo kufa kwa Kanumba hajaondoka na nyota yangu pengine hata mimi ningetangulia mbele za haki pengine watu wangesema kuwa kanumba hana mshindani maan mimi nilikuwa maarufu kabla yake na wao walikuwa maarufu kupitia mgongo wangu” amesema Ray

Kanumba alifariki tarehe kama ya leo mwaka 2012 nyumbani kwake Sinza jijini Dar es salaam akiwa na mpenzi wake Lulu Michael

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *