WCB Kuziba Nafasi Ya Harmonize, Diamond Kumuwe Hadharani Kesho

Mmiliki wa rekodi label ya wasafi Naseeb Abdul (Diamond) amatangaza kuwa siku ya kesho label yake itatambulisha msanii mpya mara baada ya kuondoka kwa Harmonize ambaye amekwenda kufungua label yake konde Boy

Kwa mujibu wa taarifa ya Mondi hajaweka wazi ni msanii gani atajiunga na label hiyo ambayo inawasanii watano Mbosso, Rayvany, lavalava, Queen Darleen na Diamond mwenyewe

wadau wengi mtandaoni wanahusiha wasanii kadhaa kujinga na label hii lakini majina mawili mabayo yanasema sana ni Zuchu na Hanstone je hawa ni kina nani

1.ZuchuTanzanian Women All Stars - Superwoman (Official Video) - YouTube

Unajua wimbo wa Super woman basi huyu ndiye aliyeimba kile kiitikio kile kisauti kizuri kinachokaririka kwa haraka kinachosema  ( am super woman) basi ndo huyu ameimba, ni mtoto wa nguli wa muziki wa taalab nchini malkia Khadija Kopa kwa mujibu wa taarifa za ndani Zucu alikuwa wasafi ka muda mrefu alikuwa anatafutiwa tu sehemu ya kuweka pengine anaweza kuwa malkia wa pili wa wasafi mara baada ya Darleen ambaye ni dada diamond

2.Hanstone

New video: Maua Sama Ft Hanstone - Iokote | mp4 Download | citiMuzik

Huyu ni mtoto wa nguli wa muzki wa dansi nchini Banza stone (marehemu) aliwahi kutamba kwenye kibao cha Iokote ya Maua Sama, ndiyo yeye pia alikuwa kwenye nyimbo ya marioo ya chibonge japo kwenye nyimbo ya pili ambayo ilitolewa video hakuwepo na sababu hazikuwekwa wazi inaielzwa kuwa alikuwa chini ya label ya Abba prosses na Hanscana na alitolewa kutokana na utovu. wa nidhamu na alikuwa kimya kwa muda mrefu kidogo pengine alikuwa anandaliwa kuchukua nafasi kwenye label hii

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *