Mbunge wa Chadema afagilia hoja kuntu za mbunge wa CCM, ampongeza

Madiwani 11 CHADEMA Mbeya wakiongozwa na Meya wahamia CCM ...

Mbunge wa Chadema jimbo la Arusha mjini Godbless Lema amefagilia mbunge mwenzake wa CCM jimbo la kahama Mjini Jumanne Kishimba kutokana na hoja zake alizozitoa Bungeni.

Kupitia ukurasa wa twitter Lema amepongeza hoja za mbunge huyo akisema ziko vizuri.

LEMA ALIAMSHA DUDE BUNGENI MATIBABU YA LISSU, MWENYEKITI AMTAKA ...Hoja zilizotolewa na mbunge huyo ni kuchukua hatua kufuatia kushuka kwa soko la dhahabu na kutumia pombe ya kienyeji aina gongo kama kitakasa mikono.

“Nilielewa maoni ya Mh Jumanne Kishimba(MB).Benki kuu inunue dhahabu wkt huu ambao bei imeshuka,pia tufikiri namna pombe ya gongo inaweza kuongezwa maarifa ikatumika kama sanitizer. Haya ni mawazo chanya.Kwa vile yeye sio Mzungu watu wana weza mkebehi wkt saniter ina pombe”

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *