Fatma Karume awacheka na kuwashangaa wanaobeza anachokifanya na wenzake

Maria Sarungi Tsehai on Twitter: "Ushiriki wenu wa michango ...

Wakati akiendelea na kumbukizi ya kifo cha babu yake, aliyekuwa Rais wa Chama cha mawakili nchini (TLS) Fatma Karume amesema anawacheka na kuwashanga watu wanaosema kazi yake ni kukaa mtandaoni.

Fatma ambaye amekuwa ni mkosoaji mkubwa wa Serikali mtandaoni amesema hay oleo Aprili 7, 2020 amesema wanaosema maneno hayo hawaelewi na wala hawatomuelewa milele.

“Mimi ninawacheka sana watu wanayesema kazi yetu ni kukaa mitandaoni. Mnasema hivyo kwa sababu hamuelewi wala hamtoelewa milele uwezo wetu, Maria Sarungi wa kufikiri, kusoma na kuandika. Inaitwa MULTI-TASKING kwa ENGLISH. Na tunapata muda wa kutete kwa kwenye simu!”

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *