Bilionea Mo Dewji aeleza jambo ambalo ni hatari kuliko Corona

 

Baada ya Kudaiwa Kuwa Anaachana na Simba Sc, Mo Dewji Atoas Ujumbe ...

Bilionea wa Kitanzania Mohammed Dewji (MO) amesema taarifa zisizosahihi na zinazopotosha juu ya ugonjwa huo ni hatari na zinaua kuliko hata ugonjwa Corona.

Mo ambaye amekuwa akimuomba Mungu mara kadhaa kuiokoa dunia na janga hilo ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo watu wengi wamemuunga mkono na watumiaji wengi wa mtandao huo

MO DEWJI SCHOLARSHIPS FOR UNDERGRADUATE UNIVERSITY STUDENTS- 2017 ...

“Misinformation is more contagious and fatal than the virus itself.” Amendika Mo ambaye hivi karibuni alizinfua bidhaa yake mpya ya vitakasa mikono (Sanitaizer).

Mpaka sasa duniani Kote ugonjwa wa virusi vya Corona ambao uliripotiwa kwa mara ya kwanza Desemba mwaka jana nchini China umewapata watu, takribani 1,300,000 na vifo takribani 70,000.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *